FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Ametokaaa kanoute, ameingia Onana.
Ila bora angetoka babacar sarr, doooh
 
Freekick wanapiga Al Ahly nje kidogo na 18
 
Mmeanza, eti Baleke na Phiri. Acha kuturudisha nyuma. Una uhakika gani kama simba ingeshapata bao iwapo wangekuwepo?
 
Timu inaacha sana space, kama hii faulo ni moja ya hayo makosa. Tau alishaupoteza mpira lakin vile hakukuwa na mtu karibu hadi kauwahi tena.
 
😁😁
 
Leo udugu utalala na viatu hutoamini waarabu watakachowafanya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee uduguu em tulizana, tazama kabumbu na soka safii, furaha ipo hapaa.
Kuwa mpoleeee.
 
Ni either game iishe 1-1 au Simba Sc apate ushindi wowote ule, vinginevyo tutakuwa hatuna matumaini tena.

Patachimbika vipi ikiwa unaenda ugenini ukiwa nyuma kwa goli moja?
Unaweza ona hivyo lakini bado unaweza ukapa matokeo mfano ya kushinda moja bila mkaenda matuta mkapita.
 
Duuuuh ni kuwa hawa wachezaji wetu hawana nguvu ya kufumua mashutiiiii? Aaaah inakeraaa sasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee uduguu em tulizana, tazama kabumbu na soka safii, furaha ipo hapaa.
Kuwa mpoleeee.
🀣🀣🀣 soka safi huku unalalamika??
Leo simba hamtoki nawaambia, hapo kisebu sebu na kiroho papo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Km nakuona ulivyo hutulii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…