FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Simba wachezaji wazito sana...
Kibu ndio anauhai...upande mwingine huu hakuna mtu
 
Umakini unahitajika hii mechi ni yetu kabisa
Washamaliza game hao ndio maana wanawaacha mruke ruke. Game hii sijajua approach ya Benchika ilikuwa ni ipi? Kwanini hakuna "Natural striker" kwenye hii game.

Sijui viongozi waliwaza nini kuwatoa Baleke na Phiri sasa unaleta mastriker ambao wanakaa benchi. Benchika anatufungisha mechi hii. Tia hao hao mastriker wetu Tia maji Tia maji akina Jobe.
 
Huyu Chama kwa uchezaji huu ndiyo anategemea kufika level za Aziz Ki kweli? Safari ni ndefu 😀
 
Hapa toa Sarr weka Onana apush,potelea pote.


Narudia Inonga ana ujuaji na masifa sana ndo maana goli likapatikana japo Hussein alijisahau akaacha mtu peke yake
Umeongea sahihi halafu aliyekuwa kiungo mkabaji mzito kivhizi
 
Simba ikiruhusu tu goli lingine, hata wakishinda, Shughuli yao itakuwa imeishia hapa
Ata wasiporuhusu tiyali Aly ahly amepata faida ya goli la ugenini ni muhimu sana kwao kwenye mechi ya marudiano, mechi hizi uwa zinachezwa kwa akili kuvuka hatua inayofata
 
Al hly imetuonea muda mrefu sasa kwenye haya mashindano. Sijui kwanini tunakosa namna.
 
Wachezaji wetu wa akiba wakuja kutpa ushindi Yani ni majonzi matupu mashabiki wameitika wengine wameumia afu na hii game tupoteze da
GJ3A19iXsAA0q8E.jpeg
 
Back
Top Bottom