FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Shida sio waarabu kuchoka, tatizo ni kwamba hata hizo nafasi tunazopata kutokana na uchovu wao bado hatuwezi kuzifanyia kazi.

Nafasi nne za wazi ila hatuna goli hata moja, tunahitaji nafasi ngapi ili tufunge?
Waarabu wamechoka kwa kazi ipi? Hapo wanawaachia tu mjichoshe wakilianzisha lazima mpasike zingine mbili.
 
Nilijua tu,goli la mapema limetugharimu...mwarabu anamaliza game kwa mkapa.
Mchezo mmeutawala nyie kwa kiasi kikubwa, Ahly wanacheza moves za mipango tu.
Mmeshindwa kuzitumia nafasi, msitumie kichaka cha goli.
 
Shida sio waarabu kuchoka, tatizo ni kwamba hata hizo nafasi tunazopata kutokana na uchovu wao bado hatuwezi kuzifanyia kazi.

Nafasi nne za wazi ila hatuna goli hata moja, tunahitaji nafasi ngapi ili tufunge?
Umakini unahitajika hii mechi ni yetu kabisa
 
Nina swali tu moja,simba mnampa nini kibu? Huwa anamwaga moto sana dakika 60 za mwanzo 😂😂
 
73290da3b7524472a60c949ccef58f63.jpg

Unaambiwa.....
 
Mchezo mmeutawala nyie kwa kiasi kikubwa, Ahly wanacheza moves za mipango tu.
Mmeshindwa kuzitumia nafasi, msitumie kichaka cha goli.
Pale golini kuna namna sio bure..ata hvyo kina Kibu na wenzake ni kama viwete malamamae zao
 
Back
Top Bottom