FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Hapa toa Sarr weka Onana apush,potelea pote.


Narudia Inonga ana ujuaji na masifa sana ndo maana goli likapatikana japo Hussein alijisahau akaacha mtu peke yake
 
Shida hii simba kikosi cha kufumuliwa hiki beki zimeisha kiwango na viungo wamenoki.
Ila yule muhasibu wetu alinishushua hapa😂😂😂.
Simba hata akija Luis Enrique aliyeipatia trible barcelona 2015 simba kwa kikosi hiki hata kombe la ndondo cup hachukui.
Kabisaaaaaaa
Simba ya sasa imelala yoooooo!!!!
 
Nilijua tu,goli la mapema limetugharimu...mwarabu anamaliza game kwa mkapa.
 
Back
Top Bottom