FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

1711744564730.png


Stats nzuri sana za Simba mbele ya mabingwa wa Africa... yenye wachezaji 7 wa Timu ya Taifa ya Misri, 2 wa Tunisia, 1 wa South Africa bila kumsahahu Modeste aliyetokea Borussia Dortmund ya Ujerumani.
 
Kapombe leo amezidiwa mbinu, uzuri wa kapombe anatoa pasi accuracy israel anasipidi japo anaweza kuigharimu timu kwa kufanya madhambi kwa mchezaji.

onana punguza ubishoo
Ngoma mipira yako leo haikueleweka
Yule back hakutakiwa kuanza, bali mzamiru
Sijajua sababu ya kumtoa kanuti? Why?

Mechi inayokuja mfie uwanjani japo shughuri ni pevu
 
Yaliyopita yamepita, tuangalie ya mbeleni haya kibarua chetu ni hapo kesho tukimkaangiza maswanda[emoji1787][emoji23] (masandawana)

Kwa kupindua meza kule Cairo sidhani, japo mpira una mengi

Poleni watani
 
Hizi ni Dk 90 za Mwanzo tu....

Moto utakaowashwa Cairo....Ule Wa Moh'D Wa Tano Utasubiri.....!

Kwani mmesahau Uwanja uligeuka Msikiti Kule Morocco Kwa Waydada...

This is Simba......! Nguvu moja
 
Ila hawa wasemaji pamoja na kuhamasisha ila wanachangia pakubwa kutuaminisha ujinga

Ukisikiliza tambo za Ahmed Ally na kilichofanyika uwanjani ni mbingu na aridhi 😂

Ngoja tusubiri na kesho Yanga
 
Acheni utani na mpira, Mimi sikutegemea Leo hii kumfunga Al ahly, mpira ni mchezo unaonekana Simba ina mapungufu ya kiuongozi na kimkakati, hii ni timu isiyojua inapokwenda na isiyojitambua, timu ya aina hii isiyo na succession plan nzuri ya wachezaji si timu ya kujitapa nayo kuwa una timu nzuri...mashabiki wanadanganywa tu, ukiwa mtu wa mpira unajua tu hizi huwa ni kamba za kutuliza kelele, utasikia tu maneno mengi ya kujifariji hahah, mgt inawachezea shere tu, TIMU HAMNA PALE.
 
Back
Top Bottom