FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Man of the Match......Kipa Wao...

Waarabu Watatoka Watake Wasitake....

Wote Kateni tamaa,Mimi nitakuwa Wa Mwisho.....Kwa hiki walicho display Wachezaji wangu
Wewe huna akili, hiyo ni style Yao ya kucheza away game, subiri game ya Cairo utawakataa hao wachezaji wako.

Al Ahaly Wana style Yao ya kucheza kila hatua, wakianzia ugenini kwenye knock out hesabu umeshaondolewa Wanaongea mbele, hizi siyo mechi za makundi.
 
Hawa mbumbumbu ukiwa unawasikiliza na afisa habari wao wanavyoisifia timu yao unaweza usipeleke timu uwanjani, lakini Sasa ukiangalia uchezaji wao kwenye pitch na aina ya wachezaji walionao utacheka sana!
Pamoja na kutoa makafara ya Kila aina, kulala uwanjani wakiroga bado wamekung'utwa ipasavyo nyumbani kwao!

Kwa mara ya kwanza Aly ahly anapata ushindi ndani ya uwanja wa benjamini mkapa, Mwakarobo safari yao Kama kawaida yao imeishia hapo, hatua ya mtoano inachezwa kwa akili sana na uwe na wachezaji wenye quality pia sio wakuokotaokota uko tandale Kama alivyosema kaduguda!

Sasa yenu mmemaliza toeni matunguri yenu maana mganga wenu keshawauza muwapishe wanaume wa kazi kazi hapo kesho!

Kutegemea kwenda Misri kupindua matokeo kwa timu yenu iyo ni sawa na kumvizia kiziwi ukijua anakusikia🤣🤣
 
Daah yan noma sana ila wachezaji wamejitahid ingawa tumefungwa lakin jitihada tumeziona
Ki kweli ila quality ya wachezaji wa simba ipo chini huwezi kutaka kupanda mlima kilimanjaro kilele cha africa na singlend isee..
kama simba tunahitaji kufika mbali kwa haya mashindano basi lazima tuwe serious kwenye usajili wa wachezaji
 
Back
Top Bottom