Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Kufika nusu fainali waliwahigi?N
Ndio, uliza Zamalek aliyekuwa Bingwa mtetezi Wakati huo,alifanywa nini Cairo ..
Watu Wana Historia zao Bwana...!
Hakuna Kitu Simba Hajawaifanya....Labda kuleta Kombe tu