Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Mitaa imetulia kwa kweli.Kelele zote zimeisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mitaa imetulia kwa kweli.Kelele zote zimeisha
Kwahiyo waarabu wamewaacha mcheze wee ila ushindi wao.Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Maandalizi ya timu zote mbili yameenda vyema, kinachosubiriwa ni mchezo rasmi leo 29/03/2024 saa tatu usiku.
Ungana nami katika uzi huu ili kupata matukio mbalimbali yatakayojiri kabla na wakati wa mchezo huo.
Karibu.
==============
Timu ya Simba inatarajia kucheza dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Robo Fainali ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, leo Machi 29, 2024
Takwimu zinaonesha hakuna mbabe mpaka sasa, kila upande umeshinda mechi Tatu, hizi ni mechi zilizopita baina ya timu hizo:
24/10/2023 Al-Ahly 1-1 Simba
20/10/2023 Simba 2-2 Egypt
09/04/2021 Al-Ahly 1-0 Simba
23/02/2021 Simba 1-0 Al-Ahly
12/02/2019 Simba 1-0 Al-Ahly
02/02/2019 Al-Ahly 5-0 Simba
29/08/1985 Al-Ahly 2-0 Simba
22/08/1985 Simba 2-1 Al-Ahly
---
View attachment 2948421Mchezo umeanza
Kikosi cha Simba kilichoanza
View attachment 2948432
Kikosi cha Al Ahly kinachoanza
3' Simba wameanza wakiwa na presha ya kushambulia, wamepata kona
5' Gooooooo Al Ahly wanapata goli baada ya safi ya ulinzi ya Simba kujichanganya
11' Kasi ya Mchezo imepungua, AlAhly wanalinda lango lao muda mwingi
13' Simba Wana Kona tatu, wageni Wana Moja
16' Al Ahly wanapata Kona ya pili na ya tatu ndani ya dakika moja
21' Al Ahly wanafanya mashambulizi ya kushtukiza na yanakuwa hatari
30' Mapumziko ya dakika moja
32' Mchezo unaendelea
40' Saido anakosa nafasi ya wazi
45 ' Mapumziko, Simba wapo nyuma kwa goli 1-0.
MAPUMZIKO
Kipindi cha pili kimeanza
49' Babacar anapata kadi ya njiano kwa kucheza faulo
55' Inonga anapata kadi ya njano kwa kucheza faulo
60' Mchezo bado ni mgumu kwa Simba wanatengenesa nafasi lakini haizitumiki vizuri
70' Simba wanaendelea kumiliki mpira lakini nafasi ya kufunga bado ni ngumu
75' Mapumziko ya dakika moja kwa timu zote.
77' Saido anapat nafasi kadhaa za wazi lakini hazitumii vizuri
80' Simba wanaendelea kutengeneza nafasi lakini wanashindwa kuweka mpira wavuni
90' Zinaongezwa dakika 5
Full Time
Nyie watanzania mnaeza kutaniana tu na kulalamika...mambo vipi BestKwahiyo waarabu wamewaacha mcheze wee ila ushindi wao.
Possession asilimia kubwa na hakuna goli
On target 7 na bado goli hakuna.
Tz sisi sijui tutaweza kitu gani
Na Yanga nao si ajabu mambo yatakuwa hivyohivyo .
Anyways,Mungu wabariki Yanga.
Itakua kule walienda kupunguza idadi ya magoli labda.Pmj na kuenda zenj lkn bado makolo mumefungwa [emoji23]
Timu nyingi za kiarabu zinacheza kimkakati.Kwahiyo waarabu wamewaacha mcheze wee ila ushindi wao.
Possession asilimia kubwa na hakuna goli
On target 7 na bado goli hakuna.
Tz sisi sijui tutaweza kitu gani
Na Yanga nao si ajabu mambo yatakuwa hivyohivyo .
Anyways,Mungu wabariki Yanga.
Mpira tupo nyuma sana Mkuu.Nyie watanzania mnaeza kutaniana tu na kulalamika...mambo vipi Best
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kulia kupokezanaa.Kwahiyo waarabu wamewaacha mcheze wee ila ushindi wao.
Possession asilimia kubwa na hakuna goli
On target 7 na bado goli hakuna.
Tz sisi sijui tutaweza kitu gani
Na Yanga nao si ajabu mambo yatakuwa hivyohivyo .
Anyways,Mungu wabariki Yanga.
On target 1 tu na wakapata goliTimu nyingi za kiarabu zinacheza kimkakati.
Ifuatilie hata belouzdad inakuacha ucheze wewe wao wanasubiri waku surprise.
Itizame Morocco kombe la dunia mpaka anaitoa Ureno ya Ronaldo na Spain ni mchezo huo huo.Mpira cheza wewe goli nifunge mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kulia kupokezanaa.
Leo kitawakaaa na masandawanaaaa.Tz hakuna mpira
Tutafute tu mambo mengine ya kufanya.
Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Maandalizi ya timu zote mbili yameenda vyema, kinachosubiriwa ni mchezo rasmi leo 29/03/2024 saa tatu usiku.
Ungana nami katika uzi huu ili kupata matukio mbalimbali yatakayojiri kabla na wakati wa mchezo huo.
Karibu.
==============
Timu ya Simba inatarajia kucheza dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Robo Fainali ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, leo Machi 29, 2024
Takwimu zinaonesha hakuna mbabe mpaka sasa, kila upande umeshinda mechi Tatu, hizi ni mechi zilizopita baina ya timu hizo:
24/10/2023 Al-Ahly 1-1 Simba
20/10/2023 Simba 2-2 Egypt
09/04/2021 Al-Ahly 1-0 Simba
23/02/2021 Simba 1-0 Al-Ahly
12/02/2019 Simba 1-0 Al-Ahly
02/02/2019 Al-Ahly 5-0 Simba
29/08/1985 Al-Ahly 2-0 Simba
22/08/1985 Simba 2-1 Al-Ahly
---
View attachment 2948421Mchezo umeanza
Kikosi cha Simba kilichoanza
View attachment 2948432
Kikosi cha Al Ahly kinachoanza
3' Simba wameanza wakiwa na presha ya kushambulia, wamepata kona
5' Gooooooo Al Ahly wanapata goli baada ya safi ya ulinzi ya Simba kujichanganya
11' Kasi ya Mchezo imepungua, AlAhly wanalinda lango lao muda mwingi
13' Simba Wana Kona tatu, wageni Wana Moja
16' Al Ahly wanapata Kona ya pili na ya tatu ndani ya dakika moja
21' Al Ahly wanafanya mashambulizi ya kushtukiza na yanakuwa hatari
30' Mapumziko ya dakika moja
32' Mchezo unaendelea
40' Saido anakosa nafasi ya wazi
45 ' Mapumziko, Simba wapo nyuma kwa goli 1-0.
MAPUMZIKO
Kipindi cha pili kimeanza
49' Babacar anapata kadi ya njiano kwa kucheza faulo
55' Inonga anapata kadi ya njano kwa kucheza faulo
60' Mchezo bado ni mgumu kwa Simba wanatengenesa nafasi lakini haizitumiki vizuri
70' Simba wanaendelea kumiliki mpira lakini nafasi ya kufunga bado ni ngumu
75' Mapumziko ya dakika moja kwa timu zote.
77' Saido anapat nafasi kadhaa za wazi lakini hazitumii vizuri
80' Simba wanaendelea kutengeneza nafasi lakini wanashindwa kuweka mpira wavuni
90' Zinaongezwa dakika 5
Full Time
Watanzania nyie bado sana...kwanza punguzeni porojo..kitu hamkijui lkn sasa mbwembwe kibaoMpira tupo nyuma sana Mkuu.
Maneno ni mengi kuliko mpira mguuni.
Yanga anaweza kujitahidi akadrawLeo kitawakaaa na masandawanaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dada em, mbona masandawana hawataki sherehe, hizo sare kwao mwikoooo.Yanga anaweza kujitahidi akadraw
Simba mdomo mwingi,vitendo sifuri ..
Shida lile semaji linabwabwaja mno..vitu unprofessional...
Ujinga mwingi ,mpira asilimia chache unaongelewa.
Simba ingeshinda uongeona kelele za hovyo.
Tunaenda kupindua mikekaLabda meza ya nyumbani kwa Mangungu
Acha ufala baba mzima..huna hayaNi kibamia au?
Uko nje ya mudaNi kwa sababu ulifahamu tangu mwanzo ya kwamba hamna uwezo wa kuwatoa Waarabu kama ilivyo kwa kaka yenu Yanga.
mpira upo leo achana na hao makirikiri wa janaTz hakuna mpira
Tutafute tu mambo mengine ya kufanya.
Alekoo... alekooo...ngoja tuwaone leo wazee wa nusu fainali