Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ndiomaana nikasema wakati sisi tupo desperate kusawazisha, tutapigwa mengine ya counter kama jinsi tulivyokoswa hapo.
Wenyewe wamerudi nyuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenyewe wamerudi nyuma
NaniMtu anapigwa 4 leo
Daah watie moyo mkuu, wapambanaji wetuPuumbafu kabisa, wachezaji wetu hawatumii akili, mara yarundikane, mara yatoe pasi mbovu...ugali, ugali ugali
Wifi ya ttcl ipo?, au ilikua siasa tuNinalo network hapa kwa mkapa ni changamoto
UuuwiiiiiHizo kona zinachosha na kukasirisha, maana hata hazitoi faida yoyote, mxxxiiiiieeeeew
Simba Sc Si Mlionao Al Ahly Mnaweza Kisa Sare Za Kombe La MbuziAl ahly ya makundi usijidanganye eti ukiifinga utaifunga na kwenye knock out stages, wanachange vibaya sana.
Pole sanaHawa mabeki nao wanafanya upumbavu gani palee? Wanaboa sasa khaaah
pasi yake sasabeki la Afcon🤣🤣🤣
Hatupo compact kati ya mstari na mstari, tunaacha nafasi kubwa sana ni lazima tuonekane tumepwaya.Kwenye transition tunakuwa rahisi sana kushambuliwa
Nyoko wewe😂😂Sawa...
Kwa mkapa hatoki mtu 🤣
Naona Hamsa Hebu Nisaidie Popcorn 😂😂😂Arilaksie nini hapo Mtani wakati mko nyuma tayari? 😀
Wiki nzima waliwekeza nguvu kuishabikia mamelod wakisahau nao wana gemu gumu