FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Kazi kweli kweli
sddefault(0).jpg
 
Kam tulivokubaliana nyie n mamelod sie n ali ali aya uo uzalendo unaanzia wap[emoji23]
 
HT. Tumecheza vizuri sana. Umaliziaji umekuwa mbovu. Lets wait sec half.
onana anahitajika mtu anayeweza kuingia na mpira mwenyewe had ndani ya Box afu ni mzuri sana kwenye one two naona warabu wanasindwa kukaba one two
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kibu kafakisha kinoma yani

Hata kwa msamaha wa magoti siwezi kumsamehe dhambi ile
Kwenye hii game hakuna mchezaji ambae anaitendea haki hii game kama Kibu.

Kuna muda tutasema wenzetu wana majini, sijui bahasha na blabla nyingine zote, lakini hebu niambie kwenye hizo nafasi ambazo Ntibazonkiza na Chama wamebaki na nafasi za wazi wale viungo wa ushambuliaji wa Yanga Sc wanakuacha?


Hasa hiyo nafasi ya Ntibazonkiza, ulikuwa ni ujinga mkubwa sana kukosa pale.
 

Tatu za wapi?

Kwa jinsi wanavyocheza Al ahly kwa uangalifu mkubwa ingekuwa ji Yanga hapa wangeshapigwa tatu hadi sasa.
 
Back
Top Bottom