Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
🤣🤣🤣🤣 Mfungwe mkeka wangu utiki nimle hela mtuUduguu em niwachee bhanaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣 Mfungwe mkeka wangu utiki nimle hela mtuUduguu em niwachee bhanaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa wakustaafu tunamlazimisha tu hahahSaido shida ni nini.
Sasa si wanacheza na timu ambayo Haina akili Walaaarifa ya mpira ulitaka wachezaje?Ahly wanacheza kwa dharaaaaaaaau 🤣🤣🙌
Huyo amepangiwa mechi ya keshoMngeomba basi achezeshe Tatu Malogo.
Mimba ya mwarabu imegoma kutoka[emoji3][emoji3]Muarabu katambika
MdebwedoUkiwa kama mchambuzi wetu wa zamu unaizungmziaje Simba kipindi cha kwanza?
Sio beki babu kuna slim hatari sanaWanaingiza mabeki sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nimechekaa had machozi, wee ni oya oyaa? KhaaaahNna jezi mbili, na zote navaa kwa pamoja nikiona vyura vimesombwa na maji navua nabaki na “UBUNTU BHOTO” [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sipendi stress mimi