Jerry001
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 585
- 1,299
Wewe utakuwa unaangalia mechi za marudio za mwaka 2021. Hapo penati zipi unaongelea weweRefa msengerema sijui kelele za mautopolo kuwa huwa anaipendelea Simba ndo awanyime penalties tatu za wazi kabisa?!