FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

Nbc acheni uhuni bwana bacca ndio man of the match
 
Kuna mchezaji wa simba alikula muekeka wakati wa kuingia shida ilianzia hapo
 
Hawa wamama wa vikoba leo wamepata msiba 🀣🀣🀣🀣
 
Simba wamejila πŸ˜‚πŸ˜‚,,,,, msemo wa depo huu
 
Mmeona hao mashangazi wa huko mwanza walishaanza kuburudika
 
Wamefungwa tena buana hahah

Njooni muwachekee huku, huko mtapigwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…