Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaaaaaHii mechi droo uwezekano wa yanga kushinda ni mdogo sana
Naunga mkono hojaKuna mchezaji wa simba alikula muekeka wakati wa kuingia shida ilianzia hapo
Kama ulijua hiviSimba hatuna timu ya kushindana na Yanga, watajipigia tu
SIku ya kushenyentwa
Alivyoanguka tu KAPOMBE wakati anaingia uwanjani nikajua tumeshashinda maana jamaa ndio mbeba uchawi,sasa alivyoanguka tu nikajua tayari uchawi wao ushamwagika kinachofuata ni kipigo tu.Shida ulianza hapaView attachment 3129957
😀😀😀Alivyoanguka tu KAPOMBE wakati anaingia uwanjani nikajua tumeshashinda maana jamaa ndio mbeba uchawi,sasa alivyoanguka tu nikajua tayari uchawi wao ushamwagika kinachofuata ni kipigo tu.
Tumekuwa tunapata bingwa wa mchongo kwa sababu ya waamuzi. Mpira wa Tanzania mechi moja au mbili tu ukipewa ushindi usio halali unaweza kuwa bingwa.Kuna uhitaji mkubwa wa VAR ktk ligi ya Tanzania
ShukranHongereni wanayanga kwa ushindi dhidi ya Simba
SawaTumekuwa tunapata bingwa wa mchongo kwa sababu ya waamuzi. Mpira wa Tanzania mechi moja au mbili tu ukipewa ushindi usio halali unaweza kuwa bingwa.
Tatizo washamba sanamkiambiwa yanga bingwa mnaleta ujuaji haya kiko wapi..