RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Kucheza vizuri ila umedondosha point tena mechi 4 mfululizo ?.... anyway tukubali tu ndio mpira...
alale bila nguo tu...😂Kipindi cha Tatu 5imba afanyaje?
Nipigieeee nipigieeeee nipo hapa nakunywa kunywa al kasus mujarab.....😹Kuna sumu ipo kifuani dogo, iteme leo. Nataka nimpigie Evelyn Salt aniambie yuko wapi😅😅😅
😅😅😅😅😅😅Nipigieeee nipigieeeee nipo hapa nakunywa kunywa al kasus mujarab.....😹
Nasikia eti ana mbio sanaKijili amejifunga
Hoja yako hasa ni nini?Mechi ya refs hii
Makolokolo bhana 😅Yanga washalegea, Simba waongeze umakini