FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

Mechi 4 za mwisho dhidi ya Mwanne

Mwanne 1-5 Yanga
Yanga 2-1 Mwanne
Mwanne 0-1 Yanga
Mwanne 0-1 Yanga

Hivi hii rekodi iliwahi kuwepo? Yaan mwanne anapigwa kwake back to back pamoja na ushindi back2back
 
Imecheza vizuri wapi, muda wote imeshikilia bomba
Wanaojua mpira wanaelewa nimechosema. Simba inawachezaji 13 wapya. Yanga inawachezaji 4 wapya. Leo wachezaj 2 tu wapya ndio wameanza kikosi Cha Yanga. Simba wachezaji 4 tu waliokuwepo msimu uliopita ndio wameanza game ya Leo. Kwahio kama wameshika bomba basi wamejitahidi acha tuendelee kujenga team.
 

Attachments

  • 1b8836db9e5447c58ee3dad81d2ca301.jpg
    1b8836db9e5447c58ee3dad81d2ca301.jpg
    51.5 KB · Views: 2
simyanga.jpg

Mvua ya leo imeharibu ubora wa pitch, imeharibu burudani tuliyoizoea, pasi fupifupi na mpira wa kasi wa Yanga ulizuiwa kwa kiasi kikubwa na utelezi na ubovu wa pitch. Kuna wengine watasema mbona pitch hiyo hiyo imetumika na wapinzani? Ni sawa, lakini kwa aina ya mpira wa Yanga, ubovu wa pitch umewaathiri zaidi, Ni sawa na kumuweka chui na kiboko washindane kukimbia kwenye tope, ambapo ni wazi chui hajazoea mazingira hayo, hivyo boko atafaidi zaidi. Kama pitch ingekuwa bora kuruhusu kila mpinzani aonyeshe uwezo wake halisi bila kikwazo na kizuizi, hakika wapinzani wangefungwa magoli mengi sana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’š
 
Back
Top Bottom