FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

Nyie mpo tu yanga na simba wala hajali maendeleo ya taifa lenu nawashangaa mno Tlaatlaah the 🐒
My Friends, ladies and gentlemen,

Imebaki siku ya moja pekee ya kesho kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi muhimu sana na wa kihistoria wa serikali za mitaa. Tafadhali kua mzalendo, nenda kajiandikishe ili hatimae uwe sehemu ya maamuzi ya haki katika mustakabali wa mtaa au kijiji unacho ishi.

aidha kongole nyingi sana kwa Dar es Salaam Young Africans kwa ushindi wa kishindo leo, baada ya kumbandua Mnyama Simba, bao moja la uchungu sana, tena hadharani mchana kweupe, aise..

Haikua raihisi.
Taifa zima limefurahi na nchi imetulia tuli.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Kumbe na wewe ni mbwa takataka nivumilie tu kwa leo gentleman 🐒
 
Simba bado ni timu dhaifu,na wataendelea kufungwa tu na Yanga
 
Leo nilikuwa nataka sare na wala siyo ushindi kulinda mkeka wangu.

Nimeshasema mara kadhaa Simba bado inahitaji kusajili wachezaji wasiopungua wawili ndiyo inacheza kupishana na Yanga. Kuna wachezaji nikiwasema mara kwa mara naonekana nina chuki binafsi ila ndiyo ukweli unaoendelea kuishi.
Pole sana.
 
Kumbe na wewe ni mbwa takataka nivumilie tu kwa leo gentleman 🐒
mimi si kumbe, wala si mbwa lakini pia wala si takataka..

hata hivyo,
nadhani napaswa kua mstahimilivu zaidi ya wote, kutokana na dhamana nzito muhimu na yenye malalamiko na lawama nyingi mno niliyonayo.

Infact,
kama kiongozi,
Yanga ikimbandua Simba, naipongeza na ikiwa kinyume chake pia sintasita kutoa kongole nyingi pia kwa mshindi mwingine gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom