Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
My Friends, ladies and gentlemen,Nyie mpo tu yanga na simba wala hajali maendeleo ya taifa lenu nawashangaa mno Tlaatlaah the 🐒
Imebaki siku ya moja pekee ya kesho kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi muhimu sana na wa kihistoria wa serikali za mitaa. Tafadhali kua mzalendo, nenda kajiandikishe ili hatimae uwe sehemu ya maamuzi ya haki katika mustakabali wa mtaa au kijiji unacho ishi.
aidha kongole nyingi sana kwa Dar es Salaam Young Africans kwa ushindi wa kishindo leo, baada ya kumbandua Mnyama Simba, bao moja la uchungu sana, tena hadharani mchana kweupe, aise..
Haikua raihisi.
Taifa zima limefurahi na nchi imetulia tuli.🐒
Mungu Ibariki Tanzania