FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

Mpira ulipigwa na max then chupi upande mmoja akaona isiwe tabu akajichomeka mwenyewe
1729401298399.jpg
 
Aliamua kurukia mpira nje ili aungizie ndani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ila vijana wa simba na kocha wa simba wakiendelea hivi naona watafika mbali sana ,timu yetu ni nzuri na ina damu changa na ni wapambanaji kweli kweli .
 
Mno hawa wanataka tuanze kulaumu na kutupia lawama wacheziji na kocha ili kitu kizuri tunachotengeneza kipotee😅
Upo jamani....
Leo kanisani vitu havipandiii...
Padri simskii kabisa nawaza tuu ilikuwaje jana..yani kijili sijui alitupiwa jini??
 
Back
Top Bottom