FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

Nilipowaambia katika post hii kuwa Mzize kujifunga siku ile ilikuwa ni masharti ya waganga wao hamkunielewa.
Pumzika usiwe kituko ndugu
20241019_214951.jpg
 
Yaani walichokosea chupi upande ni kukamia tu hapo tu na yule striker wao kama ngiri aliyepania .

Naona ni kipindi cha tatu chupi upande wanafanya makosa Yale yale
 
Back
Top Bottom