FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

20241019_193032.jpg
 
Tuna miaka mingine miwili ya kunyanyaswa na yanga mpaka yule jamaa atoke madarakani. Katika miaka yote minne ya ubora wa simba tumemfunga yanga mara moja tu.
 
Migoli ya Simba Kukataliwa... Acha hiyo..

Mipenati ya Kibu kupetwa......

Aah Acha hiyo...

Faulo iliyozaa goli ni faulo ya mchongo...

Aa Acha hiyo....

Ushindi huu wa Mchongo...Wale MEMKWA Kwa sasa huwa Wanabebwa na Marefariii
Wewe ni mteja tu hoja sifuri utaendelea kunipa point hadi utakapo hama kusini mwa jangwa la Sahara
20240912_085933.jpg
 
Simba haina wachezaji. Wengi vilaza. Tangu ile mechi ya Coastal Union.
 
Siongei na wasenge,chukua time sikukutuma unijibu kama mkundu unakuwasha katafute bwana mbele ya safari,nenda zako kwanza naku ignore sitaki shobo na wasenge.
Wee tranny mimi sioongei k#ma kama ww.Unaacha kuongea mpira unatukana watu halafu nikitumia lugha uliyo tumia wewe unasema unatukanwa,kajipige p#mp la Mk#ndu utoe manii k#uma ww. Ignore si ndio kazi ya hiyo button hujakatazwa.
 
SAYVILLE uko na hali gani mtani🤣🤣🤣
Leo nilikuwa nataka sare na wala siyo ushindi kulinda mkeka wangu.

Nimeshasema mara kadhaa Simba bado inahitaji kusajili wachezaji wasiopungua wawili ndiyo inacheza kupishana na Yanga. Kuna wachezaji nikiwasema mara kwa mara naonekana nina chuki binafsi ila ndiyo ukweli unaoendelea kuishi.
 
Back
Top Bottom