FT: Simba 1-0 Azam FC | Muungano Cup | Final | New Amaan Complex | 27.04.2024


Chama hili hapa Wadau.
Tulichambue
 
Guvu Moyaa..tuchukue kombe tuhesabu kama mafanikio kwenye mkutano mkuu..
 
Vibertz kutoka Kitumbi Nkunya Kilwa Tanzania nasema wewe Azam, vunja vunja hao wachezaji wa muhimu wa Simba ili kumkata makali kwenye mbio za kutafuta nafasi ya pili kwenye ligi kuu.
 
Raisi Mwinyi anatazama mpira
 
Hivi hawa wachezaji wa Simba wanavyocheza bila ya akili ya kimpira au kujituma wanategemea nini hasa? Ni timu gani itawachukua wakiachwa kwa uchezaji wao huu? Au ni wachezaji wazuri ila wako na mgomo baridi?
 
Hivi hawa wachezaji wa Simba wanavyocheza bila ya akili ya kimpira au kujituma wanategemea nini hasa? Ni timu gani itawachukua wakiachwa kwa uchezaji wao huu? Au ni wachezaji wazuri ila wako mgomo baridi?
Wanamgomea nani sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…