FT: Simba 1-0 Azam FC | Muungano Cup | Final | New Amaan Complex | 27.04.2024

FT: Simba 1-0 Azam FC | Muungano Cup | Final | New Amaan Complex | 27.04.2024

Game yetu ya Yanga LIVE imekuja kuwekwa kipindi cha pili, ila Makolo sasa .

Anyway kila la kheri AZAM , mikia iendelee kupalulana huko.
 
Simba wamefanya kamari ya kijinga sana, chukua kombe ila bado haitapoza hasira za mashabiki kivile maana wengi wanaona ni kombe lisilokua na tija, ila atleast itawapa ahueni, ila sasa wakifungwa naona damage itakua kubwa sana kwa mashabiki kushinda hata wakichukua, unnecessary gamble imo!!
Mpaka Sasa wamepata hasara ya Chama kuumia
 
Back
Top Bottom