FT: Simba 1-0 Azam FC | Muungano Cup | Final | New Amaan Complex | 27.04.2024

FT: Simba 1-0 Azam FC | Muungano Cup | Final | New Amaan Complex | 27.04.2024

Mpumulie kwenye bonanza?

Ubuthu botho.
Huku tukishinda tutaanza kuamsha ari ya kupambana walau tumalize nafasi ya pili ligi kuu.

Tumecheza mechi za kimashindano 5 mfululizo hatukushinda hata moja, hivyo huku kunaweza kuwa sehemu ya kuinua ari ya kuamini haijaisha mpaka iishe.
 
Dakika 43
Wao 0-Sisi 0
 
Azam wanapiga mpira wa adhabu eneo la karibu kabisa.
Goal kick
 
Mashabiki wengi wa Simba wanacheza ngoma ya mashabiki wa Yanga. Wakiambiwa timu yao inacheza vibaya na wao wanakubali tu
 
Back
Top Bottom