Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Tuombeane mema Ndugu yanguAzam Fc washindwe kwa uzembe wao wenyewe kumchinja mnyama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuombeane mema Ndugu yanguAzam Fc washindwe kwa uzembe wao wenyewe kumchinja mnyama.
Mimi naona kijaniMbona uwanja mweupe!?
Pale kati namba 10 kumtegemea Saido ni pa kubafili. Anahitajika namba 10 ambaye ni mbunifu zaidiKabisa. Sijawahi kuona Simba yenye wachezaji wasiojiamini kama hii
Bora leo tushinde walau tupumueHapana, Simba wanakosa tu umakini
Tulia kwanza hapo mlambishwe ball coneWasiposhinda nitakufungisha ndoa na yule jamaa uliyemtoroka 😂😂
Mtapumuaje bro na mshatimua mavumbi kila sehemu.....Bora leo tushinde walau tupumue
Inategemea na uelewa wako. AFCON ya kwanza ilianza na timu tatuMichuano inaanzia ½ fainali. Hii nayo ni rekodi ya dunia