Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kuna kombe linaloanzia nusu fainali? Hata hilo Bonanza la mapinduzi haliko hivyo.Kombe la Muungano na pengine mwakani mkashiriki.
Wakileta siasa zao tutawapeleka Yanga Princess.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kombe linaloanzia nusu fainali? Hata hilo Bonanza la mapinduzi haliko hivyo.Kombe la Muungano na pengine mwakani mkashiriki.
Muda utasema wakati mnashiriki utajikumbusha mwenyewe.Kuna kombe linaloanzia nusu fainali? Hata hilo Bonanza la mapinduzi haliko hivyo.
Wakileta siasa zao tutawapeleka Yanga Princess.
Haya mashindano umuhimu wake ni niniNi majukumu yake kucheza, akiumia hakuna hasara maana alikuwa kazini. Unataka kusema Yanga wamepata hasara kucheza na Azam kwa kuwa Pacome aliumia?
Kocha kasema tangu aanze kufundisha mpira hajawahi kukutana na wachezaji ambao hawafundishiki kama hawa wa Simba.Kasemaje?
Siasa za maccm.Haya mashindano umuhimu wake ni nini
Hahaha we jamaa, kwamba akibaki na goli mpaka akili yake imwambie sasa piga inachukua muda?Sema nahisi IQ yake ya maamuzi iko chini kidogo.
Anaonekana kabisa
Ni babu huyu kazi kulalamika tu halafu mbona leo Chama na Enonga siwaoni?Kweli saido babu😂
The origin of the African Nations Cup dates from June 1956, when the creation of the Confederation of African Football was proposed during the third FIFA congress in Lisbon. There were immediate plans for a continental tournament to be held and, in February 1957, the first Africa Cup of Nations was held in Khartoum, Sudan.Kuna kombe linaloanzia nusu fainali?
Hapana huyu ana mechi zake, bado mechi tatu kumaliza ligi atawapita kina Aziz Ki kwa magoli na kuchukuwa kiatu.Kweli saido babu😂