Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafasi ikiwa wazi huwa yanatumwa maombi zaidi ya 200. Kuachana na kocha huwa sio ishu. Ishu ni kuachana na mchezaji. Mfano ni mjadala wa kuondoka Feisal na Mayele ulikuwa mkubwa kuliko wa NabiAnzeni kutafuta kocha, kocha ameshawaaga anamalizia msimu anaondoka.
Pamoja na kwamba siangalii hii mechi ila hili unalosema ni kweli na limeanza muda mrefu kidogo. Hii ni "Phiri effect"Kwenye battling, Simba lazima wapoteze mpira sijui wachezaji huwa wanafumba macho au woga wa kuumia ni mkubwa au sijui shida ni nini.
Wakati wengine tulipokuwa tunampambania Phiri halafu tukawa tunaonekana vidomodomo na wachochezi tuliona athari zitakazokuja kutokea mbele na mojawapo ni hii.
Wachezaji wakiona mwenzao alipoumia, either timu haikumuhudumia ipasavyo au alipopona haikuonekana kumthamini tena, wenzake lazima wataanza kucheza kwa tahadhari zaidi.
Haina tofauti sana na kwenye mambo ya kijeshi. Kuna jeshi kama la Marekani wana sera inayosema "No man is left behind". Maana yake lolote litakalotokea katika vita au operation, hawamuachi mwenzao nyuma akiwa mzima, ametekwa, majeruhi au hata akiwa amekufa. Hii inasaidia wengine wapambane wakijua lolote litakalowakuta hawatatelekezwa.
Kocha amechoka kufundisha madunduka.....Kocha kasema tangu aanze kufundisha mpira hajawahi kukutana na wachezaji ambao hawafundishiki kama hawa wa Simba.
Anzeni kutafuta kocha, kocha ameshawaaga anamalizia msimu anaondoka.
Coastal kuanzia dakika ya kwanza walichagua kupaki basi. Na pia wamshukuru yule mlinda mlango wao Matampi.Kama Coastal walivyozembea leo
Bila Red Card Yanga alikua anapotea kwa Coastal Union acheni kujisifu Mkuu, mpira wetu ni Mipango zaidi kuliko viwango.Coastal kuanzia dakika ya kwanza walichagua kupaki basi. Na pia wamshukuru yule mlinda mlango wao Matampi.
Imekuwaje sijui mpaka ameangukia Coastal Union, mlinda mlingo wa timu ya Taifa ya DRC!
Wataje kwa majina ili tuone kama unaelewa maana ya striker, au ndio dizaini ya mashabiki walioanza kufuatilia soka baada ya Manara kuwa msemajisema simba mna teseka sana asee hawa ndo striker wenu daah
Kibu atafunga lini tena goliMara ya pili hii anapata kitete
Sasa unajiuliza, kwamba lile benchi lote la ufundi huwa hawaoni haya matatizo au shida ni nini?Hiki nimekiona mara nyingi sana ni kweli