FT: Simba 1-0 De Agosto (Agg 4-1) | Simba yatinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

Na hawa kipindi cha pili hiiiiiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watapoteana
 
Yanga saiv wanasema hii timu ilipigwa tano na Namungo, ila wanasau hata wao walifungwa Tano na Simba😃
sio 5 mkuu ni 6

yanga alifungwa 2 za halali 3 za penati mchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…