FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

Hiyu kapombe alishakaririshwa kutupia cross tu, muda mwingine hata huoni alikuwa anamtafuta nani.
 
18'
Orlando pirate wanapata freekick
 
Huyu Wawa mipira ya juu hawezi kabisa, anaanza kutuletea faulo za kijinga karibu na goli, hawa sio wa kuwapa setpieces karibubnabgoli letu kabisa.
 
17" Wawa anamdondosha Kwame Peprah inakuwa faulu, mita kama 30 kutoka Langoni inapigwa manula akaikoa

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Pirates haina mpira wa kuvutia, labda wanasema mchezo au wanajihami wapate draw au wasiruhusu magoli mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…