FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

Hiyu kapombe alishakaririshwa kutupia cross tu, muda mwingine hata huoni alikuwa anamtafuta nani.
 
Huyu Wawa mipira ya juu hawezi kabisa, anaanza kutuletea faulo za kijinga karibu na goli, hawa sio wa kuwapa setpieces karibubnabgoli letu kabisa.
 
Pirates haina mpira wa kuvutia, labda wanasema mchezo au wanajihami wapate draw au wasiruhusu magoli mengi
 
Back
Top Bottom