FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

Sijajua kabla ya mechi vile vikao vya viongozi na wachezaji huwa wanajadili nini

Kwasababu mechi muhimu kama hii bado unaona wachezaji wanacheza kwa show off. Mchezaji akipata mpira anataka acheze na jukwaa sekunde kadhaa ndio aangalie atoe pasi au afanyaje

Mi nilitegemea vile vikao vitakuwa na kazi ya kukemea huu uozo lakini imekuwa tofauti
 
Wachezaji wa Simba bana wanacheza mpira wa mtaani kila mchezaji anataka ku drible mpira wakati mpira unapaswa kupita kwenye njia tu..
 
Wanaremba mno badala ya kutengeneza nafasi za magoli..
 
kwenye mpira sekunde moja ni kubwaaa mno ukichelewa tu mpinzani ameshaziba nafac
 
Bora mkude kama unaona kama nilivyo ona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…