NakaziaHao wajinga wapigwe tu na siasa zao za CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaHao wajinga wapigwe tu na siasa zao za CCM.
Ukilinganisha na zile beki za Coastal, unapata picha ya ligi yetu.Mafala wanakaba hawa
Hutakiwa kwenda kibudu..hujui wenzako mipango ipojeSimba wameanza kupoa mapema,hizi dk 15 za kwanza ilibidi utafute goli la mapema
Hizo ndo mbinu ambazo zimewasaidia makolo kufika huko, thithi utopolo tuige kucheza hivi ili next season tusipigwe nje ndani[emoji23][emoji23][emoji23].Mbona tunaluka luka kikolo kolo tu hadi sasa
Wanaremba mno badala ya kutengeneza nafasi za magoli..Sijajua kabla ya mechi vile vikao vya viongozi na wachezaji huwa wanajadili nini
Kwasababu mechi muhimu kama hii bado unaona wachezaji wanacheza kwa show off. Mchezaji akipata mpira anataka acheze na jukwaa sekunde kadhaa ndio aangalie atoe pasi au afanyaje
Mi nilitegemea vile vikao vitakuwa na kazi ya kukemea huu uozo lakini imekuwa tofauti
HakikaUkilinganisha na zile beki za Coastal, unapata picha ya ligi yetu.