FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

Wanabana wanabanaaa....Mwisho Wataachia

Dakika kama hizi kule SA SimBa atakuwa keshakula goli 3. Jamaaa hawa wamekuja kulinda tu hivo wanawaacha waruke ruke tu. Simba haijaandaliwa face to face knock out . Mpaka dakika hizo Hii ndio safari ya mwisho simba
 
Kuna la kujifunza wenzetu wanavyojua kupack bus vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…