Mpira wenyewe unaboaHuu mpira anaocheza Simba kwa timu yoyote iliyo organized hawawezi kuifunga sio Orlando tu hata Dodoma jiji huwezi kuwafunga hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira wenyewe unaboaHuu mpira anaocheza Simba kwa timu yoyote iliyo organized hawawezi kuifunga sio Orlando tu hata Dodoma jiji huwezi kuwafunga hivi.
Tusirudi Kipindi Cha Pili TuKwa plan hii hatuwezi kupata goli nini kifanyike wakuu
Sio mipira tu, wanapoteza muda pia.Orlando wanapoteza sana mipira
Shida idadi ya magoli, mzeeWanabana wanabanaaa....Mwisho Wataachia
kipindi cha pili kocha aseme nao waache kushow off wapige quick passes bila ya kupoteza mda na mwenzake akiwa kwenye position nzur ampasie mapema sanaa magoli yatakuja ila hv unampuza wa pili wa tatu jamaa wamesharudi wote na kuziba nafasi mpira unachezwa kwenye nafasi hawa jamaa ni wazoefu sio polisi Tanzania hawaKwa plan hii hatuwezi kupata goli nini kifanyike wakuu
Tuna holding midfielder wawili, ngumu sana kushambulia au kutengeneza final ball, ila inakuwa ngumu kupata goliKwa plan hii hatuwezi kupata goli nini kifanyike wakuu
Mtani tulia kwanzaMbona zetu huwa munaanzisha.
Kama ipo ipo tu na kama haipo haipo tu. 😅
Kumbuka Hii ni Robo Fainali...Mnyama alianza na Knock out rounds then group stage na kote Kapita.Sasa kaingia Knock out rounds tena...Point yako haina Mashiko..!Dakika kama hizi kule SA SimBa atakuwa keshakula goli 3. Jamaaa hawa wamekuja kulinda tu hivo wanawaacha waruke ruke tu. Simba haijaandaliwa face to face knock out . Mpaka dakika hizo Hii ndio safari ya mwisho simba