FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

42' pirates wanagongeana pale kuelekea simba inaingizwa V pass.. Kapombe anagongana na mchezaji wa pirates Ndlovu inakuwa kona

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Jamaa wanakabia kwenye low block tu pingeni vipasi vyenu vya square lakini space hakuna
 
Kwa plan hii hatuwezi kupata goli nini kifanyike wakuu
kipindi cha pili kocha aseme nao waache kushow off wapige quick passes bila ya kupoteza mda na mwenzake akiwa kwenye position nzur ampasie mapema sanaa magoli yatakuja ila hv unampuza wa pili wa tatu jamaa wamesharudi wote na kuziba nafasi mpira unachezwa kwenye nafasi hawa jamaa ni wazoefu sio polisi Tanzania hawa
 
Hawa Pirates sidhani kama watacheza hivi kule kwao. Simba watafute goli angalau 2 Kipindi cha pili.
 
Dakika 3 zimeongezwa kuelekea kumalizika kipindi cha kwanza
 
Dakika kama hizi kule SA SimBa atakuwa keshakula goli 3. Jamaaa hawa wamekuja kulinda tu hivo wanawaacha waruke ruke tu. Simba haijaandaliwa face to face knock out . Mpaka dakika hizo Hii ndio safari ya mwisho simba
Kumbuka Hii ni Robo Fainali...Mnyama alianza na Knock out rounds then group stage na kote Kapita.Sasa kaingia Knock out rounds tena...Point yako haina Mashiko..!
 
Morrison Anajaribu Vyema Mpira Unaelekea Nje Baada Ya Goalkeeper Kucheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…