FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

Hapa sasa watafunguka na wakitanua tunapachika cha pili
 
kuna raia ndiyo zinakuja sasa kwenye uzi walikuwa wanasoma kimya kimya karibuni nyooote halafu leo ni paska bwana amefufuka hawezi kutuacha gizani
 
Back
Top Bottom