FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

Hapa sasa watafunguka na wakitanua tunapachika cha pili
 
Hapa sasa watafunguka na wakitanua tunapachika cha pili
 
kuna raia ndiyo zinakuja sasa kwenye uzi walikuwa wanasoma kimya kimya karibuni nyooote halafu leo ni paska bwana amefufuka hawezi kutuacha gizani
 
Eti hapa kijiwe nongwa wanasema hawamwelewi Lefa,
Ni kweli ana miondoko ya
ki James Delicious?
Note sio Mimi ni hapa kijiwe nongwa!
wanasema anaita
😁😁😁😁😁πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…