Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Anadaka kwa meno au?Jinsi kipa Wa Orlando anavyodaka, Utajua Tu Kwamba huyu Jamaa ni Professional Aiseeeh
kwani umesahau wajamaa wa kipa wao anadaka hadi mishaleAnadaka na meno au?
VyoteAnadaka na meno au?
Uzi kama huu,hata hapaswi kutaja Utopolo..ni kuwapa kikihakuna siku ambayo SSC imeshinda halafu UTOPOLO weseme ni ushindi halali hakuna sijui wako na shida gani
Ila goal Moja Halitoshi Kwa Hawa JamaaZimebaki sekundw na huyu refa anajua kuzingatia muda
Ndio, kwn unateseka ukiwa wapi?Kwahyo south africa mtaenda mikia!?!?