Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Jinsi kipa Wa Orlando anavyodaka, Utajua Tu Kwamba huyu Jamaa ni Professional Aiseeeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anadaka kwa meno au?Jinsi kipa Wa Orlando anavyodaka, Utajua Tu Kwamba huyu Jamaa ni Professional Aiseeeh
kwani umesahau wajamaa wa kipa wao anadaka hadi mishaleAnadaka na meno au?
VyoteAnadaka na meno au?
Uzi kama huu,hata hapaswi kutaja Utopolo..ni kuwapa kikihakuna siku ambayo SSC imeshinda halafu UTOPOLO weseme ni ushindi halali hakuna sijui wako na shida gani
Ila goal Moja Halitoshi Kwa Hawa JamaaZimebaki sekundw na huyu refa anajua kuzingatia muda
Ndio, kwn unateseka ukiwa wapi?Kwahyo south africa mtaenda mikia!?!?