Wakitulia kama leo watashinda. Walikuwa wako organized sana.Mungu aliyetushindia hapa atatushindia na kule. Nilikuwa nimejazwa hofu sana kuhusu hawa jamaa lakini na wao wanafungika tu kama Geita Gold
Nyie tulieni.Hata Asec alipigwa 3 Taifa marudiano kwao uliona kilichotokea?ntakukumbusha tarehe 24 save my comment
Nguvu MojaTujipange vizuri
Wakati hata VAR hawaijuiHalafu wajinga wachache wanajifananisha na sisi
Nawashauri wabaki! WataloweshwaHaaaa wanaweza kuingia mitini
Wewe fatana na camera jombaa uone matukio. Usiumize kichwa.VAR ya CAF nimeivulia kofia. Sasa pale si kama mwamuzi wa kati alikua ana muuliza mwamuzi wa akiba!! Sasa pale uwazi uko wapi?
Peanati hile mkuu, mie mwenyewe mwanzo nilihisi refs kakosea lakini baada kuoneshwa tena vizuri ni penatiVAR imulike vuzuri kila engo.
Nawewe umeandikaje..hahaaaaUmeandukuje hapo
Kwamba!?? We nenda kakamilishe ratiba tu!Haya sasa team orlando mnakuja au tuwafate?
unajua maana ya VAR tuanzie hapo kwanzaVAR ya CAF nimeivulia kofia. Sasa pale si kama mwamuzi wa kati alikua ana muuliza mwamuzi wa akiba!! Sasa pale uwazi uko wapi?