FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

VAR ya CAF nimeivulia kofia. Sasa pale si kama mwamuzi wa kati alikua ana muuliza mwamuzi wa akiba!! Sasa pale uwazi uko wapi?
 
Hii mechi imeonyesha forward ya simba ubunifu mdogo sana...
Heko tu kwa Morrison
 
Mechi ya Jumapili itakuwa ngumu...bila shaka!
Lote laweza kutoka...ila imekuwa Mechi ya wanaume!
 
Back
Top Bottom