Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
Mnabadilisha mawifi tu wa kuwapokea. Sisi tunajipigia.tulia wewe leo pamoja na msaada wa refa mtapigwa tu
Kwa ushahidi huo mlioupata, bado mna kibarua kigumu sana huko South Africa.Ikitokea Simba wakawatoa Orlando, utopolo wataandika barua CAS kupinga matokeo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naamini kule SA tutatoboa vizuri tu...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi Kwa Matokeo haya Mnyama Atapita tu.....Orlando Ya Kawaida Saaaaaaana.
Pongezi Mnyama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simba anaenda nusu fainali..naamini simba atapata goli ugenini,hata orlando kwao game ya marudiano wanajua itakua ngumu..tofauti ma wengi wanavyodhani.
hakuna bahati ya hivyo. Uifunge Asec 3 kwa kubahatisha?Simba inabahatisha bahatisha kuliko washindani wake.
Mnabadilisha mawifi tu wa kuwapokea. Sisi tunajipigia.Dada unatakaje?
Kikubwa hawajawapa Orlando Away goal, nafasi bado wanayo.Simba wakiacha ule utoto wa kuruhusu magoli ya kizembe ugenini nafasi ipo kabisa kwenda semi final, sijui kinawashinda nini kuwa na discipline kwenye defence.
Let us make them suffer nyumbani kwao, wachezaji wakimbie uwanja wote kuwazuia kucheza mpira wao waliouzoea.
Video Assistance Referee. Mara nyingi wale wanao kua studio wanamletea picha za video refa kwenye television pekee iliyopo uwanjani Ili ajiridhishe na sisi watazamaji tunaletewa picha za video Ili kuondoa utata na chupri.unajua maana ya VAR tuanzie hapo kwanza
Mnabadilisha mawifi tu wa kuwapokea. Sisi tunajipigia.Dada unatakaje?
Watu Tunaelewa Kitakachojiri Huko Kwa Madiba [emoji23]Wanacheka Ila hawacheki mpaka mwisho màana [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaha!Wanacheka Ila hawacheki mpaka mwisho màana [emoji23][emoji23][emoji23]
Goli moja ni kubwa sana kawaulize fc bayernSimba wakienda bondeni nao watakua wanaruka ruka nakua na kitete kama hao jamaa walivyokua wanacheza kwa mkapa.simba ameshindwa kutumia vizuri uwanja wa nyumbani.goli moja ni dogo sana ukienda ugenini.dalili zakwenda kuzuia goli bondeni ni ndogo sana wanapaswa kujipanga haswa.