FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

Simba wakiacha ule utoto wa kuruhusu magoli ya kizembe ugenini nafasi ipo kabisa kwenda semi final, sijui kinawashinda nini kuwa na discipline kwenye defence.

Let us make them suffer nyumbani kwao, wachezaji wakimbie uwanja wote kuwazuia kucheza mpira wao waliouzoea.
Kikubwa hawajawapa Orlando Away goal, nafasi bado wanayo.
 
unajua maana ya VAR tuanzie hapo kwanza
Video Assistance Referee. Mara nyingi wale wanao kua studio wanamletea picha za video refa kwenye television pekee iliyopo uwanjani Ili ajiridhishe na sisi watazamaji tunaletewa picha za video Ili kuondoa utata na chupri.

Sasa kama VAR ya Afrika Ipo Kwa mtindo nilio uona Leo basi CAF Wana kazi kubwa ya kufanya.
Haijalishi tukio la Morrison kama ni penalty alali au sio halali ila namna VAR ilivyo tumika sioni na tofauti refa kumuuliza msaidizi wake.
 
Simba wakienda bondeni nao watakua wanaruka ruka nakua na kitete kama hao jamaa walivyokua wanacheza kwa mkapa.simba ameshindwa kutumia vizuri uwanja wa nyumbani.goli moja ni dogo sana ukienda ugenini.dalili zakwenda kuzuia goli bondeni ni ndogo sana wanapaswa kujipanga haswa.
Goli moja ni kubwa sana kawaulize fc bayern
 
Back
Top Bottom