FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

Ndio hivyo yaani, hamuamini macho yenu
Ambao hawaamini macho yao ni wale waliozoea kushinda goli 2+ kwa mkapa kwenye mechi za mtoano lakini leo hii wameambulia goli moja tu. Nikifikia historia zenu za away. Aisee Mungu awaepushie na kikombe maana mlishinda goli tatu dhidi ya red arrow kilichotokea kule kila shabiki alishika shavu kujiuliza ni hii timu yetu iliyoshinda tatu kule dasalama
 
Naunga mkono hoja yako mkuu 100% .......tukicheza Kwa kujitoa kila mmoja na nidhamu ya Hali ya juu Kwa dakika zote pamoja na wachezaji kuwa na utimamu wa kiakili na kimwili huku wakimuheshimu mpinzani .....hawa jamaa tunaweza kuwaondosha na wasiamn.

Huu ni mpira na Una maajabu yake ....

Haya mashindano yakifika kuanzia robo kwenda mbele sio mepesi kama watu wanavyofikiria . Kumpiga mtu Goli zaidi ya 2 per match sio mchezo.

Nataman na Sisi tuwasome vizuri na tukasimamie itikadi yetu Kwa dakika zote 90 za mchezo .... Mbona wapinzani wetu huwa wanatusoma na Tuna struggle kweli why us on them ? We can
 
kuuchezea mpira orlando hawawezi ni kama kaizerchief tu cha muhimu tukapambane sana
 
Walio tengeneza mfumo wa VAR walitaka uwazi Ili kuondoa lawama zisizo na Sababu Ili baadae refa asije kusema Ali ingizwa Chaka.
Kusikiliza waliondani kwenye mtambo bila kuona video Haina tofauti na kumsikiliza mshika kibendera.
Labda waseme VAR ya Leo ilikua ya majaribio, OG itakuja.
 
Huelewi VAR inavyofanya kazi, tulia watalaam watakuelewesha.
 
Kumbuka hata wewe kuzaliwa ni matokeo ya bao moja tu, sijui kwanini watu wanalidharau hilo bao moja.
 
Ukiwa na quality team away au nyumbani wee unapiga tuu.
Ni kweli hatua ya sasa na kuendelea kumkandika mtu magoli mengi ni nadra sana....but advantage simba. Hapa nikuja na game ya kushambulia tuu wakiwa huko ugenini wasipaki basi kama walivyofanya kule kwa berkane...hawana wachezaji wakutekeleza huo mkakati
 
Mechi zote anazocheza simba pale kwa lupaso ni fair play caf mjitathimini simba haibebwi kama wale jamaa wanavyobwekaga
nyie caf, VAR msiilete tena mnapoteza gharama zenu tuu?
Mechi ya jana ilikuwa na var lakini mtu kakandamizwa, pia aworldcup qualifier nigeria dhidi ya ghana var ilikuwepo nigeria kapewa penalty ya mchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…