changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Ambao hawaamini macho yao ni wale waliozoea kushinda goli 2+ kwa mkapa kwenye mechi za mtoano lakini leo hii wameambulia goli moja tu. Nikifikia historia zenu za away. Aisee Mungu awaepushie na kikombe maana mlishinda goli tatu dhidi ya red arrow kilichotokea kule kila shabiki alishika shavu kujiuliza ni hii timu yetu iliyoshinda tatu kule dasalamaNdio hivyo yaani, hamuamini macho yenu