Tutapigwa mpaka tuchakae[emoji23], hakuna kupaki basi kule.Kule tunapaki basi mwanzo mwisho kwa kukabia golini
Kila la kheriAsante mkuu. Mimi nachojua tunaingia nusu. Matokeo watajaza wao
Nisawa kwenye mpira lolote linawezekana ila tunajadili uhalisia wa mpira wetu.Sidhani kama simba ana mipango yakucheza mpira tofauti na anaouchezaga ugenini.kwahiyo mwenye advantage ya mechi ya mwisho niyule atakayekua nyumbani.ndo maana naona tulitakiwa kufunga magoli mengi zaidi ili kujihakikishia usalama zaidi.
Kwa hiyo hii ya leo refa alihitaji escort?Mechi ya Al Ahl na Raja refa alienda mwenyewe kutazama
👍👍👍Kila la kheri
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa kupaki basi ndo mtashushiwa hamsa. Bora na ushambulie.Kule tunapaki basi mwanzo mwisho kwa kukabia golini
Na hii ndio itakuwa game approach ya kocha. Na Morrison hatokuwepo south. Na pia kuna tatizo ya wachezaji kutembea tu mpaka wanafika golini watu wanakabia macho yaani Inonga na Manula ndio wana sahisha makosa. Lisipo shughulikiwa hilo game itaisha dakika 45 za kwanza tuTutapigwa mpaka tuchakae[emoji23], hakuna kupaki basi kule.
Lazima tuweke kumbukumbu sawa kwenye vichwa vyao, bao ni moja tu.Hahahah ...wakumbushe...wakumbushe...Bao La Mimba ni Moja TU....MOJA TU...! Utajivunja kiuno buree Kumbe Bao ni moja tu....!
Mbona berkane tulimfunga moja tu shida iko wapi acha tufungwe kama mtakavyo ninyi na nyie mkachunge ng’ombeAmbao hawaamini macho yao ni wale waliozoea kushinda goli 2+ kwa mkapa kwenye mechi za mtoano lakini leo hii wameambulia goli moja tu. Nikifikia historia zenu za away. Aisee Mungu awaepushie na kikombe maana mlishinda goli tatu dhidi ya red arrow kilichotokea kule kila shabiki alishika shavu kujiuliza ni hii timu yetu iliyoshinda tatu kule dasalama
Simba ni kama mwendo tayari, aelekeze nguvu kuwa mshindi wa pili kwenye ligi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kweli ni kushangaza.Tutashangaza kama villareal
Uliza man city dhidi at madrid kidogo mtu akojoe damuYani penati ya kupewa ndio mnapiga makelele hivi 😂😂😂
Tusaidie nyie uto namna ya kushinda away kama mlivyofanya kwa rivers utdHongera kwa kutinga nusu, nilikuwa nakumbusha tu mechi za away
Kivyovyote vile ila kushikilia bomba lazima[emoji23][emoji23][emoji23] kwa kupaki basi ndo mtashushiwa hamsa. Bora na ushambulie.
Njoo Unibong'olee Uone Kama Sijaingiza Yote...Yani Nitakukandaa Sichekagi Na Musenge Kwenye Izo Kazi [emoji41]Duh mwanaume anaongea lugha hio unayoiongea wewe, huko nyuma sina uhakika kama kupo salama , hata huko mbele kutakua hamna kitu ni kipisi cha sigara.