FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

Kumbe Orlando Pirates siyo timu tishio kabisa; walichezeshwa kama watuto. In fact wakipambana na timu kama Mbeya City, watafungwa vibaya sana.
 
Nisawa kwenye mpira lolote linawezekana ila tunajadili uhalisia wa mpira wetu.Sidhani kama simba ana mipango yakucheza mpira tofauti na anaouchezaga ugenini.kwahiyo mwenye advantage ya mechi ya mwisho niyule atakayekua nyumbani.ndo maana naona tulitakiwa kufunga magoli mengi zaidi ili kujihakikishia usalama zaidi.

Unapopanga kufunga magoli mengi na mwenzako pia amepanga kufunga magoli mengi. Angalia Aina ya timu Simba aliyocheza nayo.
 
Tutapigwa mpaka tuchakae[emoji23], hakuna kupaki basi kule.
Na hii ndio itakuwa game approach ya kocha. Na Morrison hatokuwepo south. Na pia kuna tatizo ya wachezaji kutembea tu mpaka wanafika golini watu wanakabia macho yaani Inonga na Manula ndio wana sahisha makosa. Lisipo shughulikiwa hilo game itaisha dakika 45 za kwanza tu
 
Ambao hawaamini macho yao ni wale waliozoea kushinda goli 2+ kwa mkapa kwenye mechi za mtoano lakini leo hii wameambulia goli moja tu. Nikifikia historia zenu za away. Aisee Mungu awaepushie na kikombe maana mlishinda goli tatu dhidi ya red arrow kilichotokea kule kila shabiki alishika shavu kujiuliza ni hii timu yetu iliyoshinda tatu kule dasalama
Mbona berkane tulimfunga moja tu shida iko wapi acha tufungwe kama mtakavyo ninyi na nyie mkachunge ng’ombe
 
Duh mwanaume anaongea lugha hio unayoiongea wewe, huko nyuma sina uhakika kama kupo salama , hata huko mbele kutakua hamna kitu ni kipisi cha sigara.
Njoo Unibong'olee Uone Kama Sijaingiza Yote...Yani Nitakukandaa Sichekagi Na Musenge Kwenye Izo Kazi [emoji41]
 
Back
Top Bottom