Basi linapakiwa kimbinu sio kama ile ya kule RS BerkaneTutapigwa mpaka tuchakae[emoji23], hakuna kupaki basi kule.
Si mnatuona underdog ndio maana tunawaambia tutawashangaza nyinyi utopolo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kweli ni kushangaza.
Utajua Maana Yake Baada Ya Dk 90 Kule Kwa Madiba [emoji23]Kauli za wadada wa insta hizo, ncheke ndo nini mtani?[emoji23]
Lakini itakuwa ya heshima kuliko ya jirani yetu utopolo aliyekubali kuliwa kotekote na Rivers utd.Pole Simba safari ndio imeishia hapo
Duh, Sema nimetolewa....Yaani Unamanisha Mnyama Katolewa! Acha Utani bro!Tayari tumetolewa.
Eeh linapakiwa la nguvu kama lile la Kaizer ChiefsBasi linapakiwa kimbinu sio kama ile ya kule RS Berkane
Mkuu ukisema tushambulie t ....yatatukuta ya Kaiser chiefs kwao kule....Ukiwa na quality team away au nyumbani wee unapiga tuu.
Ni kweli hatua ya sasa na kuendelea kumkandika mtu magoli mengi ni nadra sana....but advantage simba. Hapa nikuja na game ya kushambulia tuu wakiwa huko ugenini wasipaki basi kama walivyofanya kule kwa berkane...hawana wachezaji wakutekeleza huo mkakati
Poleni Utopolo, tunajua inawauma sana....Simba inabahatisha bahatisha kuliko washindani wake.
Labd nikueleweshe kitu kimoja. Katika mpira kuna vitu viwili strategy and tactics. Strategically simba ni timu ambayo inataka kushinda mechi kwa kumiliki mpira na kushambulia. Hivyo basi ata procurement ya wachezaji ni wale wenye sifa za kuweza kutekela hilo.Mkuu ukisema tushambulie t ....yatatukuta ya Kaiser chiefs kwao kule....
unakumbuka Asec mimosa jinsi walivyokua wanatukaba na kucheza counter tulivyoenda kule kwao? m nafikir vile ndivyo inabd tucheze south ...... na c vinginevyo ...
Nasisitiza "na c vinginevyo"
Ujue Kbs Hii ni Simba .... ! Ukiandika Kuihusu TUMIA herufi Kubwa.Simba wakienda bondeni nao watakua wanaruka ruka nakua na kitete kama hao jamaa walivyokua wanacheza kwa mkapa.simba ameshindwa kutumia vizuri uwanja wa nyumbani.goli moja ni dogo sana ukienda ugenini.dalili zakwenda kuzuia goli bondeni ni ndogo sana wanapaswa kujipanga haswa.
Sidhani kama atakuelewa kwa akili za uto walizo nazoUjue Kbs Hii ni Simba .... ! Ukiandika Kuihusu TUMIA herufi Kubwa.
Goli Moja Sio Dogo ...HII ni ROBO FAINALI Ya CAF....!
Nakukumbusha tu , Hii sio Hatua ya Awali..! Hii ROBO FAINALI. Zimebakia timu 8, akivuka tu Nusu Fainali hii hapa..!
.....Sijui UMENIFAHAMU hapo? (Pemba kwetu tuna Ulizana Hivyo) !
Hakuna Cha Kitete Wala Kitoto ' Mbungi La Maana Litapigwa...Atayestahili atapita!!
Wewe Acha Uchizi..Iombee Simba Ipite..!
Weeeeeeeeeeeeè,kweli ehhhh?Orlando Pirates wameingia rasmi kwenye lile kundi la akina Al Ahli, Zamalek, Kaiser Chiefs, AS Vita, Asec Mimosa, Mehala El Kubra, Berkane, Red Arrows, Gendarmarmerie, Arab Contractors, Al Hilal, Nkana, JS Soura, Plateau, El Mereik, FC Platinum, Accra Hearts of Oak, etc.
Ukitumia NENO ' Sisi 'Unatuchanganya' Ujue.Orlando Pirates wameingia rasmi kwenye lile kundi la akina Al Ahli, Zamalek, Kaiser Chiefs, AS Vita, Asec Mimosa, Mehala El Kubra, Berkane, Red Arrows, Gendarmarmerie, Arab Contractors, Al Hilal, Nkana, JS Soura, Plateau, El Mereik, FC Platinum, Accra Hearts of Oak, etc.
Ni sawa , lakini vipi kuhusu Yanga ambaye huwa haruhusu magoli mengi ugenini bado yumo kwenye haya mashindano ya CAF? Nikirejea musimu wa 2016/ 2017 kombe la shirikisho Yanga alifungwa 4G na USM alger , 4G na Gor mahia , 3G na Rayon sport ndani ya mechi tatu.Sisi tunabeza ushindi mlioupata Leo hatuoni mkitoboa kwa game ya ugenini mnafikiri kwanini tuna wasiwasi na game zenu za ugenini ni kwa kuwa game za ugenini huwa mnaruhusu magoli mengi mkijirekebisha sawa tu hakuna shida