FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

Kuna mtu aliahidi kunya kuanzia mbezi Hadi msamvu Simba ikishinda, anaanza saa ngapi hapo mbezi ili nije shuhudia anavyoshusha mzigo?
 
Mabwege nazi walisema kwa Mkapa Simba atafungwa,wale Orando tema mate chini wanashambulia juu na chini.

Baada ya mechi kuisha Simba kumla kichwa Orando wamebadili kauli,wanasema',, ngoja Simba wakienda South wataoga mvua ya magoli"

sasa nyinyi mabwege nazi niwaulize jambo,hivi Orando wangekua wanauwezo si wangepata hata goli moja kwa Mkapa?
 
Ukiwa na quality team away au nyumbani wee unapiga tuu.
Ni kweli hatua ya sasa na kuendelea kumkandika mtu magoli mengi ni nadra sana....but advantage simba. Hapa nikuja na game ya kushambulia tuu wakiwa huko ugenini wasipaki basi kama walivyofanya kule kwa berkane...hawana wachezaji wakutekeleza huo mkakati
Mkuu ukisema tushambulie t ....yatatukuta ya Kaiser chiefs kwao kule....
unakumbuka Asec mimosa jinsi walivyokua wanatukaba na kucheza counter tulivyoenda kule kwao? m nafikir vile ndivyo inabd tucheze south ...... na c vinginevyo ...

Nasisitiza "na c vinginevyo"
 
Labd nikueleweshe kitu kimoja. Katika mpira kuna vitu viwili strategy and tactics. Strategically simba ni timu ambayo inataka kushinda mechi kwa kumiliki mpira na kushambulia. Hivyo basi ata procurement ya wachezaji ni wale wenye sifa za kuweza kutekela hilo.

Timu zinazopaki basi mara nyingi ni counter attacking tems na wamezoea kufanya hivyo kila wikend. Hivyo basi, simba hwana watu ambao wana qualities za kuiruhusu simba kuja na mkakati wa kucheza counter attack. Mfano rahisi ni hivi, leo umchukue mancity alafu useme akae apaki basi na kucheza counter attack. Hataweza kwa sasa sio mkakati wao na pia hawana lersonell wenye sifa za kutekela huo mkakati.

Tukizungumzia hao hao simba...wanaweza kujifunza toka kwa wale wanigeria platue fc ambao waliweza kupata draw hapa kwa mkapa. Wale walijua kabisa hapa ni kuweka mpira chini tunacheza na ndio maana walifanikiwa kuondoka na draw katika timu zote zilizokuja taifa.

So mie naamini the best strategy kwa simba kule sauz ni kuweka mpira chini cheza basi. Wakipaki basi wanakufa.
 
Simba wakienda bondeni nao watakua wanaruka ruka nakua na kitete kama hao jamaa walivyokua wanacheza kwa mkapa.simba ameshindwa kutumia vizuri uwanja wa nyumbani.goli moja ni dogo sana ukienda ugenini.dalili zakwenda kuzuia goli bondeni ni ndogo sana wanapaswa kujipanga haswa.
Ujue Kbs Hii ni Simba .... ! Ukiandika Kuihusu TUMIA herufi Kubwa.

Goli Moja Sio Dogo ...HII ni ROBO FAINALI Ya CAF Baba .....!
Nakukumbusha tu , Hii sio Hatua ya Awali..! Hii ROBO FAINALI. Zimebakia timu 8, akivuka tu Nusu Fainali hii hapa..!
.....Sijui UMENIFAHAMU hapo? (Pemba kwetu tuna Ulizana Hivyo) !
Hakuna Cha Kitete Wala Kitoto ' Mbungi La Maana Litapigwa...Atayestahili atapita!!
Wewe Acha Uchizi..Iombee Simba Ipite..!
 
Ujue Kbs Hii ni Simba .... ! Ukiandika Kuihusu TUMIA herufi Kubwa.

Goli Moja Sio Dogo ...HII ni ROBO FAINALI Ya CAF....!
Nakukumbusha tu , Hii sio Hatua ya Awali..! Hii ROBO FAINALI. Zimebakia timu 8, akivuka tu Nusu Fainali hii hapa..!
.....Sijui UMENIFAHAMU hapo? (Pemba kwetu tuna Ulizana Hivyo) !
Hakuna Cha Kitete Wala Kitoto ' Mbungi La Maana Litapigwa...Atayestahili atapita!!
Wewe Acha Uchizi..Iombee Simba Ipite..!
Sidhani kama atakuelewa kwa akili za uto walizo nazo
 
Orlando Pirates wameingia rasmi kwenye lile kundi la akina Al Ahli, Zamalek, Kaiser Chiefs, AS Vita, Asec Mimosa, Mehala El Kubra, Berkane, Red Arrows, Gendarmarmerie, Arab Contractors, Al Hilal, Nkana, JS Soura, Plateau, El Mereik, FC Platinum, Accra Hearts of Oak, etc.
 
Sisi tunabeza ushindi mlioupata Leo hatuoni mkitoboa kwa game ya ugenini mnafikiri kwanini tuna wasiwasi na game zenu za ugenini ni kwa kuwa game za ugenini huwa mnaruhusu magoli mengi mkijirekebisha sawa tu hakuna shida
 
Weeeeeeeeeeeeè,kweli ehhhh?
 
Ukitumia NENO ' Sisi 'Unatuchanganya' Ujue.
Sie tunawawaza AL Ahly, Mamelody, Raja na Kadhalika..! Kumbe Kutaamaki Wewe ni Mshabiki Wa YANGA!
Sasa Yanga Unaipachika Wapi hapo?
.....hahah
 
Sisi tunabeza ushindi mlioupata Leo hatuoni mkitoboa kwa game ya ugenini mnafikiri kwanini tuna wasiwasi na game zenu za ugenini ni kwa kuwa game za ugenini huwa mnaruhusu magoli mengi mkijirekebisha sawa tu hakuna shida
Ni sawa , lakini vipi kuhusu Yanga ambaye huwa haruhusu magoli mengi ugenini bado yumo kwenye haya mashindano ya CAF? Nikirejea musimu wa 2016/ 2017 kombe la shirikisho Yanga alifungwa 4G na USM alger , 4G na Gor mahia , 3G na Rayon sport ndani ya mechi tatu.

Utopolo kuinanga simba nikujidharirisha wenyewe.
 
Back
Top Bottom