FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

Sisi tunabeza ushindi mlioupata Leo hatuoni mkitoboa kwa game ya ugenini mnafikiri kwanini tuna wasiwasi na game zenu za ugenini ni kwa kuwa game za ugenini huwa mnaruhusu magoli mengi mkijirekebisha sawa tu hakuna shida
Nyinyi akina nani ?
Mjitambulishe tuwape mpira mkadhinde huko ugenini
 
Hivi mara ya mwisho Utopolo kuifunga timu ya nje ni lini ?

Na ilikuwa timu gani ?

Na kwanye mashindano gani ?

Goli la ushindi aliyefunga nani ?

NB
Hivi Utopolo ipo nafasi ya ngapi kwa ubora Africa ?
Hivi hawakuifunga somalia juzi!?
Au somalia sio timu ya nje!?
Kwenye mashindano ya kimataifa, club bingwa ya dunia kwa nchi zenye vita
Goli la ushindi alishinda Mrisho khalfani ngasa.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Matopolo yamenuuuna

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huwa unaangalia hata mpira wa ulaya!?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nyinyi akina nani ?
Mjitambulishe tuwape mpira mkadhinde huko ugenini
Sidhani kama Ukimuuliza ni mechi gani waliwahi kushinda ugenini atakupa jibu.
Na akikupa jibu ni zile timu za shelisheli , somalia , Hertrea na Djibouti.Tofauti na hapo hana lolote la kukwambia
 
Sidhani kama Ukimuuliza ni mechi gani waliwahi kushinda ugenini atakupa jibu.
Na akikupa jibu ni zile timu za shelisheli , somalia , Hertrea na Djibouti.Tofauti na hapo hana lolote la kukwambia
Kwa kumbukumbu zangu mimi ni kama Yanga iliwahi tolewa kwa matuta na Al Ahly ya misri baada ya game kuisha sare ya moja moja huko Misri.
 
Tutaliona hilo 'Mbungi la maana' hiyo Jumapili.
 
Hivi mkuu, kujadiliana bila kuweka matusi kwenu huwa ni mwiko? Toa tu hoja inaeleweka.
 
Hii ni hatua ngumu sana. Game za champions lg hakuna timu iliyonufaika na tofauti ya goli mbili.

Ni mwendo droo,ama 2 kwa 1.

Hata hizi game za confederation sion timu kushinda 3 bila.

Hizi mechi ni ngumu hata CAF wanazitolea macho sana myu asiionewe kiboya.
 
Unasemaje mkuu!?
 
Hivi mara ya mwisho Utopolo kuifunga timu ya nje ni lini ?

Na ilikuwa timu gani ?

Na kwanye mashindano gani ?

Goli la ushindi aliyefunga nani ?

NB
Hivi Utopolo ipo nafasi ya ngapi kwa ubora Africa ?
Baki na kuuliza maswali yasiyo na tija badala yakukesha ukiomba angalau ufungwe goli 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…